English sentence
stringlengths 1
1.37k
⌀ | Swahili Translation
stringlengths 1
1.21k
⌀ |
---|---|
She is a singer.
|
Yeye ni mwimbaji.
|
I wrote a book about China.
|
Niliandika kitabu kuhusu China.
|
What's your nationality?
|
Nini uraia wako?
|
It's three o'clock.
|
Ni saa tisa.
|
Jorge speaks four languages.
|
Jorge azungumza lugha nne.
|
Do you remember her name?
|
Je, unakumbuka jina lake?
|
I can speak your language.
|
Naweza kuzungumza lugha yako.
|
I found one.
|
Nilipata moja.
|
Mary knows me.
|
Mary ananijua.
|
Emily wrote the sentence.
|
Emily aliandika sentensi.
|
I hate maths.
|
Ninachukia hesabu.
|
I'm drinking water in the kitchen.
|
Nanywa maji jikoni.
|
I'm not a fangirl.
|
Mimi si msichana wa shabiki.
|
You broke the table you were sitting on.
|
Ulivunja meza uliyekuwa ukikaa.
|
Don't smoke in bed.
|
Usivute sigara kitandani.
|
How are you this morning?
|
Habari za asubuhi?
|
Please bring me eggs.
|
Tafadhali, niletee mayai.
|
Do you want food?
|
Je, unataka chakula?
|
Do you want eggs?
|
Je, unataka mayai?
|
Do you want fruit?
|
Je, unataka matunda?
|
Do you want fruit?
|
Unataka matunda?
|
Please bring me fruit.
|
Tafadhali, niletee matunda.
|
Please bring me porridge.
|
Tafadhali, niletee uji.
|
What kind of food is there?
|
Kuna chakula gani?
|
There is gruel.
|
Kuna uji.
|
Do you want gruel?
|
Je, unataka uji?
|
Yes, bring me gruel.
|
Ndiyo. Niletee uji.
|
There is fruit.
|
Kuna matunda.
|
Would you like some fruit?
|
Je, unataka matunda?
|
Are there any bananas?
|
Kuna ndizi?
|
He's been drinking beer.
|
Yeye amekwisha kunywa pombe.
|
I go on foot.
|
Naenda kwa miguu.
|
Melanie likes music.
|
Melanie anapenda muziki.
|
She is my teacher.
|
Yeye ni mwalimu wangu.
|
The man is strong.
|
Mtu ni mwenye nguvu.
|
I'm not listening to music.
|
Sisikilizi muziki.
|
My book is here.
|
Kitabu changu ni hapa.
|
A monarch had six sons.
|
Mtawala alikuwa na wana wasita.
|
I'm cooking.
|
Ninapika.
|
You're cooking.
|
Unapika.
|
She's cooking.
|
Anapika.
|
They're reading a book.
|
Wanasoma kitabu.
|
You're reading.
|
Unasoma.
|
He's reading.
|
Anasoma.
|
They're writing.
|
Wanaandika.
|
We're writing.
|
Tunaandika.
|
You're writing.
|
Mnaandika.
|
You're writing.
|
Unaandika.
|
She's cooking now.
|
Anapika sasa.
|
We're cooking now.
|
Tunapika sasa.
|
I'm eating a sandwich.
|
Ninakula sandwichi.
|
The horse is black.
|
Farasi ni mweusi.
|
Do you eat fish?
|
Je, unakula samaki?
|
I want to drink tea.
|
Ninataka kunywa chai.
|
The horse is not white.
|
Farasi si mweupe.
|
This horse is white.
|
Farasi hii ni mweupe.
|
This horse is not white.
|
Farasi hii si mweupe.
|
She's a doctor.
|
Yeye ni daktari.
|
She's a good woman.
|
Yeye ni mwanamke mzuri.
|
Their car is not good.
|
Gari yao si jizuri.
|
She is a good student.
|
Yeye ni mwanafunzi mzuri.
|
You're not a man.
|
Wewe si mtu.
|
You're not a woman.
|
Wewe si mwanamke.
|
I went to the bank.
|
Nilikwenda benki.
|
My wife went to the farm.
|
Mke wangu alikwenda shamba.
|
His money is in the bank.
|
Fedha zake ni katika benki.
|
It surprises me.
|
Ananishangaza.
|
The girls work.
|
Wasichana wanafanya kazi.
|
Pua sang at church.
|
Pua aliimba kanisani.
|
Pua is singing at church.
|
Pua anaimba kanisani.
|
I finished writing.
|
Nilimaliza kuandika.
|
He is inside this house.
|
Yeye ni ndani ya nyumba hii.
|
The birds are red.
|
Ndege ni mwekundu.
|
The stone is heavy.
|
Jiwe ni zito.
|
Are you anxious?
|
Je, una wasiwasi?
|
The man wants to know the truth.
|
Mtu anataka kujua ukweli.
|
The woman wants to know the truth.
|
Mwanamke anataka kujua ukweli.
|
The boy wants to know the truth.
|
Mvulana anataka kujua ukweli.
|
The girl wants to know the truth.
|
Msichana anataka kujua ukweli.
|
Nobody knows the truth.
|
Hakuna anayejua ukweli.
|
Melanie is not a fortune teller.
|
Melanie si mpigaramli.
|
Millie is drinking water.
|
Millie ananywa maji.
|
Millie isn't drinking water.
|
Millie hanywi maji.
|
It was the truth.
|
Ulikuwa ukweli.
|
You can tell the truth.
|
Unaweza kusema ukweli.
|
You can't go there.
|
Huwezi kwenda huko.
|
Millie loves chocolate.
|
Millie anapenda chokoleti.
|
Millie will tell us the truth.
|
Millie atatusema ukweli.
|
Millie is very cute.
|
Millie ni mzuri sana.
|
I love you, Millie!
|
Ninakupenda, Millie!
|
Millie has beautiful eyes.
|
Millie ana macho mazuri.
|
Millie has green eyes.
|
Millie ana macho ya kijani.
|
Millie has blue eyes.
|
Millie ana macho ya bluu.
|
She'll pass the exam for sure.
|
Atapita mtihani kwa hakika.
|
Millie is learning Swahili.
|
Millie anajifunza Kiswahili.
|
Millie is hungry.
|
Millie ana njaa.
|
Millie loves him.
|
Millie anampenda.
|
Millie is going to school.
|
Millie anakwenda shule.
|
Millie loves me.
|
Millie ananipenda.
|
Millie has a cat.
|
Millie ana paka.
|
Subsets and Splits
Long Swahili Sentences
Retrieves 1,000 Swahili translations longer than 20 characters, providing a basic sample for further analysis.